SIRA
Sira ni fani
inayoelezea maisha ya Nabii Muhammad(S.A.W) Tangu kuzaliwa kwake mpaka kufa kwake.
Hii inakusanya Malezi yake makuzi yake , wasifu wake wa kimaumbile, Tabia zake, harakati
zake katika kuufikisha ujumbe kwa Uislamu na watu wote kwa Ujumla.
Vile vile Sira inaelezea yake Mtume na Watu wa mataifa
mbalimbali na mengi katika Mambo yalitokea kabla ya kuwa kwake Mtume na Mpaka kuwa kwake Mtume pia katika Sira utaweza tambua Maisha na utawala wa Makhalifa waongofu baada ya
Mtume.
No comments:
Post a Comment