UTAMBULISHO.



ITAMBUE MADRASATUL AMIN  NA TAASISI YA AL- AMIN ISLAMIC  FOUNDATION.
JINA LA TAASISI: AL AMIN ISLAMIC FOUNDATION.
ANUANI: KIJITONYAMA ALI MAUWA “A” DAR ES SALAAM
SANDUKU LA POSTA ……………………………………..
SIMU YA MEZANI ………………………………………………
SIMU YA MKONONI: ………………………………………
SKYPE: al.amin_2010
BARUA PEPE: kkiislam02@gmail.com
MTANDAO: www.kkiislamtnz.blogspot.com
ACCOUNT: ………………………………………………………..
MAKAO MAKUU KIJITONYAMA ALI MAUA “A” NA TAWI LAKE SALASALA GOBA
WILAYA : KINONDONI,
MKOA :  DAR ES SALAAM,TANZANIA .
AL AMIN ISLAMIC FOUNDATION.

FOUNDATION ni taasisi ya kidini iliyoanzishwa Mwaka ……….. na kupata Usajili Namba...Mwaka …Kupitia ofisi ya Msajili wa Wizara ya mambo ya Ndani.

Taasisi hii

imeanzishwa kwa sura ya Madrasa (ikijulikana kwa jina la Madrasatul Amin)  ikiwa na wanafunzi ... Mwalimu Mmoja Marehemu Sheikh Nassor Monero.  Idadi ya Wanafunzi  iliendelea kuzidi  siku hadi siku
kutokana na Wazazi na walezi kuridhishwa na elimu bora,malezi na maadili mema  yanayotolewa na madrasa hii.

Taasisi hii
imeanzishwa kwa malengo makuu matatu ambayo ni;-
1.Kutoa elimu ya kiislamu kwa rika zote na Jinsia zote Mwanamume na Mwanamke . 
Katika lengo hili Taasisi hii inatoa elimu kwa njia mbali mbali kama zifuatazo:-
1.       Kutoa elimu kwa njia ya darasani (ana kwa ana) ,
2.      Kutoa elimu kwa njia ya vipeperushi,
3.      Kutoa elimu kwa njia ya semina,
4.      Kutoa elimu kwa njia ya mihadhara,
5.      Kutoa elimu kwa njia ya ujumbe mfupi (sms)
6.      Kutoa elimu kwa njia ya mtandao ya Kijamii  (E-mail,Facebook,Twitter,Skype,Instgram) N.k
7.      Kutoa elimu kwa njia ya kutunga vitabu x.
8.      Kutoa elimu kwa njia ya ukurasa wa Tovuti (Blogspot).

INAENDELEA INSHAALLAH ......

MOBILE : +201110189580  SMS KATIKA NAMBA HIYOHIYO WHATSAPP.
au Ust Hassan N Amran  +255712257492 / Ust Hussein N Amran +255713526494.
SKYPE : al.amin_2010
E-Mail : kkiislam02@gmail.com

FACEBOOK : Kijana wa Kiislam Dsm  au Pages : Kijana wa Kiislam Tanzania

Kupitia Anuwani hizo InshaAllah twaweza wasiliana kwa Muda wowote ukiwa na Maoni , Fikra Mawazo karibu.


BLOG HII IPO CHINI YA MADRASATUL - AMIN 

KIJITONYAMA DSM , TANZANIA .

Wabillahi - Taufiqh