AZHAR SHAREEF

Anaitwa Abdallah Haroun Nyumba ni Mmoja katika wahitimu wa Chuo kikuu cha Al Azhar Shareef Nchini Misri.

Ambaye kwa sasa ni Imamu katika Msikiti wa Qiblateen - Kariakoo Dar es salaam Tanzania, Amehitimu katika Kitengo cha Sharia  InshaAllah Historia kamili tutawaletea baadae ...
Waumini wa Msikiti wa Qiblateen wakiwa katika kusikiliza moja ya Darsa za Sheikh Abdallah Haroun Nyumba.
Sheikh Abdallah Haroun Nyumba Imamu wa Msikiti wa Qiblateen - Kariakoo katika Picha wa kwanza kulia akishiriki na Jamii katika futari ya pamoja iliyo andaliwa na Benki ya KCB , Dar es salaam ,Tanzania.

MADINATOUL BOUTH L ISLAMIYYAH  
Majengo ya Hostel ( Madinatoul - Bouth Islamiyyah) 
Moja katika Picha ya Kumbukumbu iliyo wakusanya  Wanafunzi wa Azhar Shareef ambao wanasoma katika Vitengo Mbalimbali Picha hii ilipigwa Siku ya Eid Tarehe 27-11-2009.
Balozi wa Tanzania nchini Misri  Wa kwanza kulia Mh,Mohammed Haji Hamza na baadhi ya maafisa wa ubalozi wakiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya Viongozi wa Wanafunzi wa Jumuia ya Wanafunzi Tanzania T.s.u PICHA NA RGAIDY HAROUN aliyevaa Suti wa Kwanza Kushoto.

No comments:

Post a Comment