Ustaadh wa Maustaadh wa Usomaji wa Qur an Kwa Njia ya Tajweed Ustaadh Adam Ahmad ambaye pia ni Mudiru wa Madrastul Itswam - Temeke aliyechika Kipaza Sauti akiwa pamoja kuliani kwake Sheikh Muhidin Mkoyogole Khalifa wa Twariqatul - Qadiria na Naibu Mufti wa Tanzania katika Moja ya Hafla Jijini Dar es Salaam.
Sheikh Ally Mzee Comorian akitoa Mawaidha katika Moja ya Hafla Jijini Dar es Salaam .
Ustaadh Othman Kaporo Mlezi wa Vijana wa Qur an wa Kwanza kulia Pamoja na Alhaj Ally Hassan Mwinyi katika Moja ya Hafla za Qur an Jijini Dar es salaam.
Ustaadh Othman Maalim pamoja na Ustaadh Hussein Nassor Monero katika Picha ya pamoja Zanzibar
Picha kwa Hisani ya Kijana wa Kiislam Dsm
No comments:
Post a Comment