Kiongozi Mpya wa Muda wa Udugu wa Kiislam(Muslim Brotherhood ) Nchini Misri.
![]() |
MAHMOUD EZZAT |
Udugu wa Kiislam Nchini Misri (Muslim Brotherhood)
kime mteua Mahmoud Ezzat kuwa kiongozi mpya wa muda wa kundi
hilo baada ya serikali ya nchi hiyo kumkamata kiongozi mkuu wa kundi
hilo, Mohamed Badie vile wapo Viongozi Mbalimbali wa Juu wa Kundi hilo tayari wameshawekwa Chini ya Ulinzi Huku Maandamano yakiendelea Barabarani Kupinga Mapinduzi ya Kijeshi yaliyo fanya 3 July baada ya Kutanguliwa na Maandamano ya 30 June ambayo yaliitishwa Nchi Nzima na Vijana wa Tamaruod.
Hali Nchini Misri bado tete Maandamano ya wenye kupinga Mapinduzi yakiendelea na Habari zilizo katika Vyombo vingi vya habari kwa sasa ni Kuachiwa kwa Rais aliye ondoshwa Madarakani kwa Maandamano Makubwa Hosn Mubarak.
No comments:
Post a Comment