KUMBUKUMBU YA HAFLA YA MADARSATUL - ABASSIA KARIAKOO , DAR ES SALAAM.
PICHA NA MAKTABA YETU.
Alhabib Haji Sunday Manara akifurahi na Madihi Nnabiy Madrasatul - Abasiyah - Kariakoo. |
Ustaadh Adamu Ahmad Mwalimu Mkuu wa Madrasatul - Itswaam - Temeke katika Hafla hiyo kuliani kwake ni Sheikh Muhidini Mkoyogole Naibu Kadhi Mkuu wa Tanzania. |
Sehemu ya Masheikh na Viongozi walio kuwepo katika Hafla akiwemo Ust Othman Maalim toka Zanzibar . |
Sehemu Viongozi waalikwa katika Hafla hiyo. |
No comments:
Post a Comment