KUMBUKUMBU UZINDUZI WA MSIKITI WA MUHAJIRINA SINGIDA .
![]() |
| Rais mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi,akishuka kwenye gari lake. |
![]() |
| Baadhi ya waumini wa kiislamu waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa msikiti wa Muhajirina. |
![]() |
| Sheikh wa manispaa ya Singida , Sheikh Issa Simba,akitoa nasaha zake kwenye hafla ya uzinduzi wa msikiti wa Muhajirina wa Majengo. |
![]() |
| Rais mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi, akitoa nasaha zake muda mfupi kabla hajazindua msikiti wa Muhajirina wa Majengo, Singida. |
![]() |
| Raisi mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi,(wa nne kutoka kushoto) akielekea kuzindua msikiti wa Muhajirina |
![]() |
| Rais mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi,akizinduka msikiti wa Muhajirina mjini Singida. |







No comments:
Post a Comment