Thursday, August 08, 2013

MISRI LEO EID

Kwa Mujibu wa Mufti wa Misri ametoa Tamko leo kuwa kuanzia LEO tarehe 8-8-2013 Mwanzo wa  Mwezi Mosi ( Shawalli) Kwa Niaba ya Timu nzima ya Blog tunawatakia Eid NJEMA WADAU WOTE , TAQABALLAHU MINNA WAMINKUM .

No comments:

Post a Comment