PICHA ZA MUHADHARA JANA MOROGORO
| Shekh Ponda akizungumza kwenye Kongamano , Augosti 10, mwaka huu mjini Morogoro |
| akitambulishwa jukwaani Shekh Ponda. |
| Askari wa FFU wakijisongeza kati kati ya uwanja mara baada ya muda wa kongamano kumalizika. |
| Shekh Ponda akikaribishwa kwenye jukwaa kuu baada ya kuwasili kwenye viwanja vya shule ya Msingi Kiwanja Cha Ndege , mjini Morogoro |
| Kikosi cha FFU uwanjani |
| Shekh Ponda akisalimiana na Mhadhiri wa Mihadhara nchini, Ustaadhi Abubakari |
| Shekh Ponda akiteta jambo na baadhi ya Viongozi wa umoja wa Wahadhiri wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Morogoro |
| Shekhe Ponda akiwa meza kuu kwenye kongamano hilo |
| Shekhe Ponda akiwa amezingirwa na waumini |
| Waumini katika Kongamano hilo. |
| Waumini wa Dini ya Kiislamu wa mjini Morogoro wakimsikiliza Shekh Ponda |
| Waumini wa Kiislamu wakitawanyika uwanjani baada ya muda wa kongamano kufikia tamati. |
No comments:
Post a Comment