Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na baadhi ya wakuu wan chi za
SADC muda mfupi baada ya ufunguzi wa mkutano wa 33 SADC
uliofanyikaKatika ukumbi wa Bingu International Conference centre,mjini
Lilongwe Malawi leo.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Naibu Waziri
Mkuu wa Namibia Marko Hausiku,Makamu wa Rais wa Zambia Dr.Guy Scott,Rais
wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma, Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo(DRC),Rais Dkt.Jakaya Kikwete,Mwenyeji Rais
Dkt.Joyce Banda wa Malawi, Rais Armando Emilio Guebuza wa
Msumbiji,Katibu Mtendaji wa SADC anayemaliza muda wake Dkt.Tomaz
Salomao, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, na Rais Ian Khama wa
Botswana. |
No comments:
Post a Comment