Sheikh Ponda akiwa kizimbani leo.
Baadhi ya wananchi waliofika mahakamani.
Sheikh Ponda akirudishwa kwenye Karandinga baada ya kesi yake kuhairishwa.
Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda
Issa Ponda leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
mkoani Morogoro kujibu mashitaka yanayomkabili.
HABARI NA PICHA NA DUSTAN SHEKIDELE GPL, MOROGORO.
No comments:
Post a Comment