JEE UNATAKA FAHAMU/ONGEA LUGHA YA KIARABU FASAHA NA LUGHA NYENGINE TOFAUTI UNGANA NA DR KABUGA KANYEGERI .Waijua tofauti kati ya “Classic Arabic” na “Standard Arabic”?
Je, wajua kuwa inaweza kukuchukua muda mfupi kuongea lugha hii ambayo ni miongoni mwa lugha 5 ngumu zaidi duniani?
Ungana nami katika class yangu na ubaini maajabu katika lugha hii, na nikupe uzoefu wangu wa kuzungumza zaidi ya lugha 4 na kwa muda mfupi:
MAHALI:
1. Isatanbul Youth Centre, Mbezi Beach, Dar es Salaam.
SIKU: Jumatatu, Jumanne na Jumatano, kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 10 alasiri.
0714 734 362
0754 734 362
2. World Muslim Congress, Kariakoo Dar es Salaam.
SIKU: Ijumaa, Jumamosi na Jumapili, kuanzia saa 10 alasiri.
0655 342 008
AU
Wasiliana nami moja kwa moja:
0712 566 595
0763 348 213
UKIJUA LUGHA MOJA UMEMJUA MTU MMOJA, UKIJUA ZAIDI YA LUGHA MOJA UTAKUWA UMEWAJUA WATU WENGI ZAIDI.
No comments:
Post a Comment