WAKAZI WA MADINATUL NNASIR WATEMBELEA HOSPITAL YA WAFUASI WA RAIS MORSY
Wakazi wa Maeneo ya Madinatul Nnasir katika Picha walipotembelea Hospital ya Raabia l Adawia ambapo wafuasi wa Rais Mohammed Morsy wamekusanyika kwa masiku kadhaa ya kutaka Rais wao kurejeshwa Madarakani.
No comments:
Post a Comment