
Mamia ya Wafuasi wa Rais Morsi wameripotiwa kuuwawa na wengine Maelfu kwa Maelfu wakijeruhiwa
wakati maafisa wa usalama nchini Misri walipoanza operesheni ya
kuwatimua wafuasi wa rais aliyeng'olewa madarakani Mohammed Morsi,
waliokuwa wamekita kambi mjini Cairo katika Viwanja vya Nahdhwa na Rabial Adawiya.
No comments:
Post a Comment