Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akimpongeza Katibu Mkuu mpya wa UVCCM Taifa, Sixtus Mapunda baada ya Baraza Kuu la UVCCM kumpitisha rasmi leo.
Katibu Mkuu mstaafu wa UVCCM, Martin Shigella akimkaribisha kuteki kitini Katibu Mkuu mpya wa UVCCM, Sixtus Mapunda baada ya Baraza kuu kumpitisha Mapunda kushika wadhifa huo.
Katibu Mkuu mpya wa UVCCM, Sixtus Mapunda akizungumza na Mwenyeki wa UVCCM Taifa, wakati wa kuendesha kikao cha Baraza Kuu la UVCCM mjini Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akifungua Mkutano maalum wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) leo, katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar. Wengine kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM (Zanzibar), Shaka Abdul Shaka, Katibu Mkuu wa UVCCM aliyemaliza muda wake, Martin Shigella na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Hamis na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mboni Mhita, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu, Martin Shigella akitoa shukrani baada ya kumaliza muda wake, kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la UVCCM Kisiwandui Zanzibar na nafasi yake kuchukuliwa na Katibu Mkuu mpya Sixtus Mapunda.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Ali Seif Iddi akiongoza dua kwenye kaburi la Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Abeid Amani Karume, Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui, Zanzibar Kabla ya kufungua Mkutano maalum wa Baraza Kuu la UVCCM, leo. Wengine ni kutoka kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM (Bara) Mfaume Ally Kizigo, Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Mboni Mhita na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Hamis na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM (Zanzibar), Katibu Mkuu wa UVCCM Mstaafu, Martin Shigella na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana.
Waalikwa kwenye kikao cha Baraza kuu la UVCCM, lililofanyika leo Kisiwandui, Zanzibar, Katibu wa NEC, Itikasi na Uenezi Nape Nnauye akishauriana jambo na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba na Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi kwenye kikao hicho.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Ali Seif Iddi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Adulrahman Kinana baada ya kuwasili Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui Zanzibar kufungua kikao cha Baraza Kuu la UVCCM.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (Katikati) akiwasikiliza, Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Vuai Ali Vuai na Katibu Mkuu Mstaafu wa UVCCM, Martin Shigela, nje ya Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar kabla ya kikao cha Baraza Kuu kuanza, leo.
Katibu Mkuu mstaafu wa UVCCM, Martin Shigella akiwaaga wajumbe wa Baraza Kuu, wakati wa kikao cha Baraza Kuu la UVCCM.

(Picha zote na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment