Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga picha ya pamoja na wanaCCM wa shina la Komalija mjini Maswa mara baada ya kuongea nao.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanachama wa shina la muungano Wilayani Maswa
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Badeco mjini Maswa Mkoani Simiyu jana.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi , Siasa na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Badeco mjini Maswa Mkoani Simiyu Jana.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Pascal Mabiti akizungumza na w.ananchi wa mkoa wake katika mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Badeco mjini Maswa Jana.
Wananchi waliohudhuria katika mkutano huo mjini Maswa.
(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-MASWA SIMIYU)
No comments:
Post a Comment