KUMBUKUMBU YA MAZISHI YA SHEIKH NASSOR BACHO M/MUNGU AMUWEKEE MAHALA PEMA PEPONI AMIIN.
Alhamis , February 14, 2013
Mazishi ya Sheikh Nassor Bacho yalivyofanyika
Maelfu
ya waislamu wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim
Seif Sharif Hamad katika sala ya kumuombea marehemu Sheikh Nassor Bachoo
katika viwanja vya Mnazimmoja mjini Zanzibar.
Huu ndiyo umati uliokuwepo Donge kuhudhuria mzishi ya Sheikh Nassor Bacho.
No comments:
Post a Comment