Thursday, September 12, 2013

MAFUNDI NA VIJANA MTAANI KIJITONYAMA ALI MAUWA "A"


 Mafundi wakiendelea na Kazi zao  katika Ukarabati wa Madrasatul Amin Kijitonyama Ali mauwa
Picha hii ikiwaonyesha Vijana wa Eneo la Kijitonyama Ali Mauwa wakipeana Fikra na Mawazo wa Kwanza Kulia Ni Ndugu Salum Dendego akifatiwa na Ghalib Nassor na wa Mwisho kabisa kushoto ni Ndg Said Ally Mkali Picha hii ilikuwa Mwaka 2010.

No comments:

Post a Comment