Mkutano
wa 10 wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka Mabunge ya Nchi
wananchama wa SADC ujulikanao kama (SADCOPAC) unaendelea jijini Arusha,
ambapo kamati ya Bunge ya PAC ndio mwenyeji wa Mkutano huo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akiwasilisha Taarifa ya Tanzania ya utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 8 na 9 ikiwa ni matakwa ya Wajumbe wa Mkutano huo ambapo kila Nchi wanachama huwasilisha taarifa hiyo.

Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto
Kabwe akimweleza jambo Mwenyekiti wa Umoja wa Kamati za Bunge za Hesabu
za Serikali kutoka nchi zilizo kusini mwa jangwa la sahara (SADCOPAC)
ambaye pia ni mwenyekiti wa PAC kutoka Bunge la Afrika Kusini Mhe. Sipho
Makama wakati wa mapumziko ya Mkutano wa 10 wa SADCOPAC unaendelea
Arusha.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akiuliza swali wakati wa majadiliano ya mkutano wa Umoja wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka nchi zilizo kusini mwa jangwa la sahara (SADCOPAC) unaoendelea Arusha.

Mjumbe
wa Mkutano wa Mwaka wa SADCOPAC kutoka Tanzania Mhe. Asumpta
Mshama akiuliza swali wakati wa majadiliano ya mkutano wa Umoja wa
Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka nchi zilizo kusini mwa
jangwa la sahara (SADCOPAC) unaoendelea Arusha. Tanzania imewasilisha
utekelezaji wa maazimio ya mikutano ya 8 na 9 katika mkutano huo.
Picha na Bunge
No comments:
Post a Comment