Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto, Mhe.Ummy Mwalimu leo amehitimisha ziara yake ya Mkoa wa Pwani kwa kumalizia na Wilaya ya Mafia.
Akiwa ziarani Mafia amevitembelea vijiji vya Chole, Miburani, Kilindoni, na vilevile alikutana na wanafunzi wa Sekondari ya Kitomondo.
Amefanya mkutano na Wafanyakazi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa Wilaya,Watendaji wa Wilaya na Kamati ya Ulinzi ya Wilaya.
No comments:
Post a Comment