Tuesday, September 24, 2013

OPERESHENI KIMBUNGA AWAMU YA PILI YAANZA LEO

photoOperesheni kimbunga phase two imeanza, na leo Askari walikwenda kufanya Doria katika Mapori ya Kimisi kuangalia Kama wahamiaji haramu na mifugo Yao wamo.
Pichani juu ni watoto wakiangalia Helcopter iliyotua katika eneo la Benako wakati polisi wakifanya Doria hiyo
photoAskari wa jeshi la polisi Mwijage akitoa somo la Uraia kwa watoto waliyokuja kuiangalia hapo benako wakati aw Doria ya kusaka wahamiaji haramu au illegal immigrants NA MIFUGO Yao katika pori la Kimisi Wilayani Ngara leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment