RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI WA ITALIA LEO JIJINI DAR
Rais Mh. Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mpya Dkt. Luigi Scotto (Kulia) kutoka Italia katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu- Dar es Salaam..Rais Mh. Dkt, Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Balozi mpya anaewakilisha nchi ya Italia nchini Tanzania Balozi Dkt. Luigi Scotto( kushoto) leo Ikulu Dar es Salaam.Balozi mpya anaewakilisha nchi ya Italia nchini Tanzania Dkt, Luigi Scotto (katikati waliovaa suti) pamoja na maafisa wakuu wa Itifaki wakiwa katika wimbo wa taifa.leo katika hafla hiyo ya utambulisho Ikulu Dar es SalaamRais Mh.Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akisikiliza taarifa ya utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Italia nchini Tanzania Mh, Dkt. Luigi Scotto (kulia) Jana Ikulu Dar es Salaam.Balozi mpya wa Italia nchini Tanzania Mh. Dkt. Luigi Scotto akisaini kitabu cha wageni Jana Ikulu jijini Dar es Salaam alipokwenda kuwasilisha hati za utambulisho kwa Mh, Rais Dkt. Jakaya Kikwete(hayupo pichani). Balozi mpya wa Italia nchini Tanzania Mh. Dkt, Luigi Scotto (kulia) akisalimiana na baadhi ya maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, leo katika hafla hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment