Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisaliiana na Ambilikile Mwasapila maarufu kwa jina la Babu wakati alipopita katika kijiji cha Samunge akilelekea Digodigo kuhutubia mkutano wa hadhara Septemba 24, 2013. Alikuwa katika ziara ya wilaya ya Ngorongoro . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment