Pages
MWANZO
MAKALA
FIQH
SIRA
IJUMAA
AZHAR SHAREEF
PICHA NA MATUKIO
TASFIRI YA QUR AN
UTAMBULISHO.
LIKE OUR PAGE ON FACEBOOK
Wednesday, September 18, 2013
WAZIRI MKUU MHE. PINDA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA HUWAWEI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza maelezo kuhusu picha ya watawala wa asili wa China kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huwawei Technologies nchini, Bw. Bruce Zhanga na Mkurugenzi Mkuu wa kambuni hiyo, Bw. Kenneth Luo (kulia) katika mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Balozi wa China nchini, Lu Youqing kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaaam Septemba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa China nchini, Bw. Lu Youqing (kushoto kwake) na ujumbe wake , Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa China Nchini, Bw. Lu Youqing, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment