Waumini
wa jumaiya ya Kiislamu, Jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community
Washington DC wakipata picha ya pamoja baada ya kumaliza sala ya Eid
Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 15, 2013 msikiti wa Islamic
Center New Hampshire Maryland US.( Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
Waumini wa Tanzanian Muslim Community Washington DC wakipata picha baada ya sala ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 15, 2013 msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US
Cheif wa swahilivilla, Abou Shatry (wakwanza kushoto) akipata picha ya pamoja na Abuu Qullatein (wakwanza kuli) baada
ya kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 15,
2013 msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland.
Ofisa
wa ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Bwana Suleiman Saleh
alisalimiana na Deddy Rouba pamoja na Rais wa Jumuiya ya watanzania
washington DC, Iddi Sandaly baada ya
kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 15, 2013
msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US.
Ofisa
wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bwana Suleiman Saleh (watatu
kushoto) pamoja na Rais waJumuiya ya watanzania Washington DC, Iddi
Sandaly, Deddy Rouba (wakwanza kushoto) Sheikh Moddy (wapili kulia)
pamoja na Abuu Qullatein (wakwanza kuli) wakipata picha ya pamoja baada
ya sala ya Eid Al-Adhw-haa
Ofisa
wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bwana Suleiman Saleh, wapili
kushoto, Cheif wa swahilivilla, Abou Shatry (wakwanza kushoto) akiwa na
Shamis Alkhatry (wapili kulia) , pamoja na Abuu Qullatein (wakwanza
kulia)
Auntiee Asha Akida akiwa na mdhamini wa pindo lake pamoja na Rais wa Jumuiya ya watanzania Washington DC Iddi Sandaly.
No comments:
Post a Comment