Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe tunu wakizungumza na viongozi wa kampuni ya elektroni na mawasiliano ya HUAWEI baada ya kuwasili katika Ofisi kuu za kampuni hiyo zilizopo katika jiji la Shenzhen wakiw katika ziara ya kaikazi nchini Chini Oktoba 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri `mkuu, `mkuu, `mizengo Pinda akimkabidhi DVD zinazoonyesha
hifadhi za taifa na fursa za utalii nchini Tanzania, Kiongozi wa
kampuni ya Hong Kong- China Traval Corporation, Bw/ Zhang Xnewu baada
ya mazungumzo yao yaliyolenga kuvuta watalii kutoka China waitembelee
Tanzania yalyofanyika katika jiji la Shenzhen nchini China Oktoba
20,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakipokea zawadi ya maua kutoka kwa
Xu Xzao Qing (kulia) na Wu Li (Wapili kulia) baada ya kuwasili
kwenye Makao Makuu ya Kampuni ya Elektroniki na Mawasiliano ya HUAWEI
yaliyopo Shenzhen China Oktoba 20, 2013. Walikuwa katika ziara ya
kikazi nchini humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakizungumza na XU Xzao Qing (kulia)
na Wu Li (Watatu kulia) baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya kampuni
ya Elektroniki na Mawasili ya HUAWEI iliyopo katika jiji la Shenzhen
wakiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 20, 2013. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiangalia kikundi cha muziki wakati kikitumbuiza
No comments:
Post a Comment