Sunday, October 06, 2013

Rais Dkt. Kikwete ateta na Mtoto wa Kimasai

D92A2773 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakizungumza na mtoto kutoka jamii ya wafugaji wa kimasai Annette Mtambo muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua mradi wa maji jana. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Pwani (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment