Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Mwenyeji wake Waziri Mkuu wa China,
Li Keqiang kuelekea kwenye ukumbi wa mazungumzo wakati alipowasili
kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi
nchini humo Oktoba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akigonganisha glass na Waziri Mkuu wa China, Li
Keqiang katika hafla ya kutia saini makubaliano ya Ushirikiano katika
nyanja mbalimbali kati ya China na Tanzania kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu
mjini Beijing Oktoba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment