Sunday, October 20, 2013

ZIARA YA WAZIRI MKUU MHE. PINDA SHENZHEN CHINA

IMG_0585 IMG_0588

Baadhi ya watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.

  IMG_0605

Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania kwenye ubalozi  wao mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Chini, Luteni Jenerali Abdulrahmani Shimbo.

  IMG_0609 IMG_0618

Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akisalimiana  na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. 

  IMG_0678

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipewa mauwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndegea wa Shenzhen  akitokea Beijing  akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.

 IMG_0938 

Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza baada ya kutembelea Sheko Container Teminal mjini Shenshen akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment