JIANDAE NA MWEZI MTUKUFU WA RAMADAN KWA KUOMBA DUA HII AMBAYO WAJAA WEMA NDIO WANAYOITUMIA KATIKA KUMUOMBA MUNGU.
Ewe M/Mungu Tupe Baraka za Mwezi wa Rajab Na Shaaban , Na Tunakuomba M/Mungu Tufikishe tukiwa wazima wa Afya katika Mwezi Mtukufu wa Ramadan ili Tutekeleze Ibada ya Funga.
O Allah, bless ( the month of ) Rajab for us, and allow us to experience Ramadan this year.
اللهم بارك لنا في رجب وشعبان وبلغنا رمضان
ALLAHUMA BAARIK LANA FII RAJAB WA SHAABAN WABALAGHNA RAMADHAN
No comments:
Post a Comment