IMANI
hii ni Nguzo ya Pili ya Dini ya Kiislamu inajengeka juu ya nguzo sita zifuatazo:-
1.Kumuamini Allah
2.Kuwaamini malaika wa Allah.
3.Kuviamini vitabu vya Allah.
4.Kuwaamini mitume (wote ) wa Allah.
5.Kuamini siku ya mwisho.
6.Kuamini qadari ya Allah (ya kheri au ya shari) kuwa inatoka kwa Allah).
NA NGUZO YA TATU NA YA MWISHO NI IHSANI.
Na Nguzo yake ni Moja nayo ni:-
1.Kumuabudu Allahkama
unamuona Kama humuoni yeye anakuona wewe.
Huu kwa muhtasari ndio Uislamu, dini na mfumo sahihi na kamili wa maisha kwa wanadamu wote waliochaguliwa na Allah Mola Muumba wao: |………LEO NIMEKUKAMILISHENI DINI YENU NA KUKUTIMIZIENI NEEMA YANGU NA NIMEKUPENDELEENI UISLAMU UWE DINI YENU ………….” (5:3) elewa na ufahamu kwamba kuishi nje ya dini hii ni kulikana umbile lako kwani UISLAMU NI HAKI YAKO YA KUZALIWA uliyopewa hadiya (zawadi) na Mola Muumba wako.
Angalizo : Ewe kijana Mwenzangu Kijana Wa Kiislam tutakuwa Mpaka sasa Tumefahamu
hii ni Nguzo ya Pili ya Dini ya Kiislamu inajengeka juu ya nguzo sita zifuatazo:-
1.Kumuamini Allah
2.Kuwaamini malaika wa Allah.
3.Kuviamini vitabu vya Allah.
4.Kuwaamini mitume (wote ) wa Allah.
5.Kuamini siku ya mwisho.
6.Kuamini qadari ya Allah (ya kheri au ya shari) kuwa inatoka kwa Allah).
NA NGUZO YA TATU NA YA MWISHO NI IHSANI.
Na Nguzo yake ni Moja nayo ni:-
1.Kumuabudu Allah
Huu kwa muhtasari ndio Uislamu, dini na mfumo sahihi na kamili wa maisha kwa wanadamu wote waliochaguliwa na Allah Mola Muumba wao: |………LEO NIMEKUKAMILISHENI DINI YENU NA KUKUTIMIZIENI NEEMA YANGU NA NIMEKUPENDELEENI UISLAMU UWE DINI YENU ………….” (5:3) elewa na ufahamu kwamba kuishi nje ya dini hii ni kulikana umbile lako kwani UISLAMU NI HAKI YAKO YA KUZALIWA uliyopewa hadiya (zawadi) na Mola Muumba wako.
Angalizo : Ewe kijana Mwenzangu Kijana Wa Kiislam tutakuwa Mpaka sasa Tumefahamu
1.UISLAM na NGUZO ZAKE.
2.IMANI NA NGUZO ZAKE .
3.IHSANI NA NGUZO ZAKE.
Nawatakia siku Njema Vijana wenzangu na kazi Njema
No comments:
Post a Comment