KWA WALE WALIOKUWA KWENYE NDOA NA WENYE KUTARAJIA
KUINGIA KWENYE NDOA NI MUHIMU KUTAMBUA :
Haifai kwa MWANAMKE Kujinasibisha kwa Nasabu ya Mumewe kama ilivyoenea kwa wasio kuwa Waislam Dalili : Hadithi ya Mtume Rehma na Amani Zimshukie Juu yake Imepokelewa na Bukhar (3508) Mtume wa Muhammad Rehma na Amani Zimshukie Juu yake Amesema:(Haifai kwa Mtu kumwita Mtu(kumnasibisha) mwenzake kwa Jina la asiye kuwa baba yake hali ya kuwa yeye anafahamu kuwa si baba yake na Mwenye kufanya akiwa anajua (kuita)amekufuru,Na Mwenye kumnasibisha Mtu katika Nasabu isiyokuwa yake Ajiandae Makazi yake Motoni.) Kama ALIVYOSEMA Mtume.
Mfano : Jina la Mwanamke . ZAINAB ALLY SAID
Jina la Mume . FEISAL MOHAMMED AMRAN
Jina la Mke Kubadilika anapo olewa kuwa Zainab Feisal : Wakati Feisal si Baba yakeBali ni
Mumewe haya Ndio Mafundisho ya Dini tuepuke Kuiga yaliyo kinyume na Mafundisho
ya Dini yetu ili tupate Radhi zake Allah.
Haifai kwa MWANAMKE Kujinasibisha kwa Nasabu ya Mumewe kama ilivyoenea kwa wasio kuwa Waislam Dalili : Hadithi ya Mtume Rehma na Amani Zimshukie Juu yake Imepokelewa na Bukhar (3508) Mtume wa Muhammad Rehma na Amani Zimshukie Juu yake Amesema:(Haifai kwa Mtu kumwita Mtu(kumnasibisha) mwenzake kwa Jina la asiye kuwa baba yake hali ya kuwa yeye anafahamu kuwa si baba yake na Mwenye kufanya akiwa anajua (kuita)amekufuru,Na Mwenye kumnasibisha Mtu katika Nasabu isiyokuwa yake Ajiandae Makazi yake Motoni.) Kama ALIVYOSEMA Mtume.
Mfano : Jina la Mwanamke . ZAINAB ALLY SAID
Jina la Mume . FEISAL MOHAMMED AMRAN
Jina la Mke Kubadilika anapo olewa kuwa Zainab Feisal : Wakati Feisal si Baba yake
M/Mungu Mjuzi zaidi Kijana Wa Kiislam
No comments:
Post a Comment