اللهم إنك عفواً كريم تحب العفو فاعف عنا
M/MUNGU AKIKUBARIKI KUUDIRIKI USIKU WA CHEO SOMA DUA HII KWA MAELEKEZO YA MAMA AISHA
alimuliza Mtume Jee? tukiidiriki LAYLATUL QADIR (USIKU WA CHEO) tufanye nini ? Mtume akajibu kithirisha kusema ALLAHUMA INNAKA AFUWUN TUHIBUL AFWAA FA'AFUANNAA ". Kama alivyosema Mtume

No comments:
Post a Comment