Ewe M/Mungu tujaalie nasi kuwa Miongoni Watu wa Peponi na wazazi wetu waliotangulia Mbele ya Haki.
Majina ya hao Maswahaba 10 ni :-
1.Abuu bakar Siddiq
2. Omar Bin Khattab
3. Uthman Bin Affan
4. Ali Bin Abi Talib
5.Talha Bin Ubaidullah
6. Saeed Bin Zaid
7. Abuu Ubaidah Bin Jarrah
8. Zubair Bin Awwam
9. Saad Bin Abi Waqqas
10.Abdul Rahman Bin Auf
No comments:
Post a Comment