ALHAJ ALI HASSAN MWINYI NA MZEE MKAPA WAWASILI ZIMBABWE KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS MUGABE.
Marais Wastaafu Alhaj Ali
Hassan Mwinyi na Benjamin William Mkapa pamoja na wake zao, Mama Sitti
Mwinyi na Mama Anna Mkapa, wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Harare, Zimbabwe, walikoalikwa kushiriki katika sherehe ya
kuapishwa kwa Rais wa Zimbambwe, Mhe. Robert Mugabe, inayotarajiwa
kufanyika kesho Alhamisi Agosti 21, 2013.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment