Friday, August 09, 2013

BARAZA LA EID ZANZIBAR LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika Baraza la Eid -Fitry lililofanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani, Zanzibar, na kuhudhuriwa na Waumini wa Dini ya Kiislam kuadhimisha Sikukuu ya Eid Fitry baada ya Mfungo wa Mwezi wa Ramadhani kumalizika jana.
Viongozi wa Serikali.
Wananchi katika Baraza hilo wakifatilia kwa Makini yanayojiri.
Wananchi wakifuatilia Hutuba ya Baraza la Eid, ikisomwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Salama Bwawani.

Wanawake wa Kiislamu wakiwa wanafatilia Baraza hilo.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh Omar Kalbi, akisoma dua baada ya kumalizika kwa hutuba ya Baraza la Eid Fitry ilosomwa na Rais wa Zanzibar.na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, na Wake wa Viongozikushoto Mama Asha Balozi Seif, Mama Zakia Bilal, Mama Shadya Karume, Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Utalii na Michezo Bihindi Hamad na Mama Asha Bilal.
Viongozi wa Dini .
Wageni wakipata Chakula. Picha na ZanziNews.

No comments:

Post a Comment