Wednesday, August 07, 2013

MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID EL-FITR MTAA WA KONGO KARIAKOO




Wakazi wa Jiji la Dar es salaam wakiwa katika Maandalizi ya Sikukuu ya Eid el  Fitr, Mtaa wa Kongo , Kariakoo Kwa Niaba ya timu ya KKIISLAM BLOG tunawatakia Waislamu wote Duniani na Tanzania Sikukuu Njema.

1 comment:

  1. mungu atufkishe salama usalimi tufungue kwa amani kama tulvofunga kwa aman

    ReplyDelete