MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID EL-FITR MTAA WA KONGO KARIAKOO
Wakazi wa Jiji la Dar es salaam wakiwa katika Maandalizi ya Sikukuu ya Eid el Fitr, Mtaa wa Kongo , Kariakoo Kwa Niaba ya timu ya KKIISLAM BLOG tunawatakia Waislamu wote Duniani na Tanzania Sikukuu Njema.
mungu atufkishe salama usalimi tufungue kwa amani kama tulvofunga kwa aman
ReplyDelete