Chege, Nyandu Tozi na Madee |
Kassim Mganga |
TID, Jafarai na Z Anto |
Wasanii mbali mbali na watangazaji walipata kualikwa ikulu jijini Dar,
kwa ajili ya kuftari na Mh Raisi pamoja na familia yake.mara baada ya
kuftari Mh Kikwete aliongea mawili matatu ikiwa ni pamoja na kuwapa moyo
wasanii wa kuendeleza sanaa.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA