WANAWAKARIBISHA WAISLAM WOTE KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR’AN TUKUFU YA KIMATAIFA
FAINALI KWA WASICHANA
LEO Jumamosi , Tarehe 03 Agosti 2013,
FAINALI KWA WASICHANA
LEO Jumamosi , Tarehe 03 Agosti 2013,
Saa 3:00 ASUBUHI
Ukumbi: Star Light Hotel Hall
(Waalikwa Wanawake tu).
FAINALI KWA WANAUME
KESHO Jumapili , Tarehe 04 Agosti 2013,
Saa 3:00 ASUBUHI
Ukumbi:Diamond Jubilee Hall
(Waalikwa Wanaume na Wanawake).
Changia kuendeleza kuhifadhisha QUR’AN Tukufu Tanzania kupitia Mtandao wetu www.quran.or.tz
Tunawashukuru na kuwatakia Funga Njema yenye Baraka na kukubaliwa Dua zetu ambazo tunazo ziomba , Amiin .
Kwa Niaba ya Kamati ya Maandalizi.