Rais
wa Syria, Bashar Assad, amesema kuwa nchi yake itajilinda dhidi ya
shambulizi lolote. Televisheni ya serikali ilimnukuu akiuambia ujumbe wa
wanasiasa kutoka Yemen kuwa: “Vitisho vya moja kwa moja dhidi ya Syria
vitaongeza dhamira na ahadi yetu ya kushikamana na misingi yetu thabiti
na utashi huru wa wananchi wetu. Syria itajitetea dhidi ya hujuma
yoyote.”
CHANZO: Mzizima 24
No comments:
Post a Comment