SHEIKHE PONDA APANDISHWA KIZIMBANI MAAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MORO, APALEKWA MORO KWA USAFIRI WA ANGA.
Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini,
Sheikh Issa Ponda akiwasikiliza mawakili wake, IGNAS PUNGE, NA BATLOMEO TARIMO kushoto muda mfupi kabla ya kupandishwa kizimbani katika Mahakama
ya mkoa wa Morogoro.
Sheikh Ponda amesafirishwa kutoka jijini Dar es Salaam mpaka mkoani Morogogro
kwa usafiri wa helkopta iliyotua katika viwanja vya Gymkhana.
No comments:
Post a Comment