Vijana
wa Masjid AL-DAAWIEL wa Ilala Dar Es Salaam ikishirikiana na Vijana wa
Kitwariqah Afrika Mashariki inakutangazieni Mihadhara itakayofanyika
Jijini Dar Esalaam kuanzia tarehe 20 Agosti mpaka Tarehe 26 Agosti 2013
na hii ni Ratiba ya Mihadhara hiyo itakavyokuwa Mihadhara hiyo itatolewa
na Sidi AlFaqeer .Dr.Mbarak Ahmed Aweis Azhariy kutoka Mombasa Siku ya
Jumanne tarehe 20 Agosti muhadhara wa
kwanza ktk msikiti mwenyeji wa ziara unaoitwa Masjid AL-DAAWIEL uliopo
maeneo ya ilala baada ya swalah ya Magharib hadi saa tatu kasorobo Mada
itakayozungumziwa ni -UKWELI JUU YA MWANDAMO WA MWEZI
Siku ya Jumatano tarehe 21Agosti masjid Qiblatain Baada ya swalah ya Magaharibi hadi saa tatu kasorobo, SALA YA TARAWEEH KATI YA RAKAA 8 NA 20.
Alkhamis tarehe 22 Agosti Muhadhara utakuwepo Masjid Idrisa Kariakoo Baada ya Magharibi hadi saa tatu kasorobo Mada itakayoongelewa ni WIH-DAH (UMOJA WA KIISILAMU)
Ijumaa tarehe 23 Agosti Muhadhara utakuwepo Masjid Mtoro Kariakoo baada ya Magahribi Mada itakayoongelewa ni YAJUE MADH-HAB YA IMAAM SHAAFI
Siku ya JUMAMOSI tarehe 24Agosti Muhadhara utahamia Masjid Taqwaa uliopo bungoni ilala baada ya swalah ya adhuhuri Mada itakayoongelewa ni NINI KIFANYIKE BAADA YA RADHAN
Jumamosi tarehe 24Agosti baada ya Swalah ya maghribi Muhadhara utakuwa Masjid TungiTemeke, Mada itakuwa KILICHOTOKEA BAADA YA MAKHALIFA
Siku ya Jumapili tarehe 25 Agosti baada ya swalah ya Adhuhuri Muhadhara utakuwa Masjid Mtambani Kinondoni mada itakuwa MAISHA YA NDOA NA ATHARI ZAKE
Baada ya swalah ya Magharibi siku ya Jumapili tarehe 25 Agosti Muhadhara utakuwa siku Masjid Kichangani Magomeni mada itakuwa MAULIDI YA MTUME SWALALLAHU ALEIHI WA SALAAM
Kukhitimisha Mihadhara hii itakuwa siku ya Jumatatu tarehe 26 Agosti kutakuwepo Muhadhara wa kina mama saa 3 asubuh hadi saa 6 mchana Mada itakuwa NAFASI YA MWAMKE WA KIISLAMU KTK JAMII
Siku ya Jumatatu tarehe 26 Agosti Baada ya swalah ya Magahribi kutakuwepo na Muhadhara mwingine wa mwisho mada itakuwa ELMU NA UMUHIMU WAKE Mahala ni Masjid AL-DAAWIEL Ilala Dar Es Salaam

No comments:
Post a Comment