M/Mungu Mtukufu anasema katika kitabu chake kitukufu
(Enyi mlio amini! Ikiadhiniwa Sala siku ya Ijumaa,nendeni upesi kwenye utajo wa Mwenyezi Mungu,na wacheni biashara. Hayo ni bora kwenu, lau kama mnajua. Na itakapo kwisha Sala, tawanyikeni katika ardhimtafute fadhila za Mwenyezi Mungu,na mkumbukeni Mwenyezi Mungu kwa wingi ili mpate kufanikiwa ) Qur-ani 62:9-10
Na Mtume Rehema na amani ziwe juu yake, anasema:
(Watu wataachana na tabia yao ya kuacha{kuto hudhuria} Swala ya ijumaa,au Mwenyezi Mungu atapiga muhuri katika nyoyo zao,kisha watakuwa miongoni mwa watu wenye kujisahau ". kama alivyosema Mtume hadithi imepokelewa na Imamu Muslim.
Allah atapiga muhuri katika nyoyo zao, na kuwa ni watu wasio ikubali haki kwa sababu mioyo yao haipo tayari kuipokea haki kutokana na kupigwa muhuri huo.

Twamuomba Allah atuongoze katika njia iliyo nyooka!
Tuwe ni miongoni mwa watu wenye kuisikia haki na kuifuata!
Amiin , Ijumaa Mubarak na Ramadhan Mubarak kwa Waislam wote