TETESI : SHEIKH PONDA APELEKWA SEGEREA
Assalaam alaykum!
Kuna taarifa kuwa Shekh ponda amepelekwa mahabusu segerea licha ya kuwa na hali mbaya. Tunaendelea kufuatilia kwa undani zaidi juu ya taarifa hii na tutawajuza zaidi.
Hatua hii inafuatia ile ya awali ambapo hapo jana alisomewa shtaka akiwa kitandani katika Kitengo cha Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI).
Habari tunazifatilia .......................
------------------------------------------------------------------------------------------
Habari za kuhamishwa Sheikh Ponda Kutoka katika Hospital ya Muhimbili kwenda Mahabusu , Gereza la segerea ni za kweli kwa uhakiki wa Vyanzo vyetu vya habari.
Zoezi hili limefanyika Mchana wa leo tarehe 15-8-2013.

![]() |
Gari iliyotumika kumbeba Sheikh Ponda leo Asubuhi |
![]() |
Akielekea Segerea,huku akishuhudiwa na mkewe. |
Habari za kuhamishwa Sheikh Ponda Kutoka katika Hospital ya Muhimbili kwenda Mahabusu , Gereza la segerea ni za kweli kwa uhakiki wa Vyanzo vyetu vya habari.
Zoezi hili limefanyika Mchana wa leo tarehe 15-8-2013.
In sha Allah zikiwa confirmed utuambie
ReplyDeleteconfirmed
ReplyDelete