Friday, August 02, 2013

Wafuasi wa Rais wa Misri aliyeondolewa madarakani Mohamed Morsi Waendelea na Maandamano

Picha ya Waandamanaji wanao muunga Mkono Rais Morsi aliyeondolewa Madarakani wakiwa katika Maandamano baada ya Swala ya Ijumaa Maeneo ya Ramsis