Friday, August 02, 2013

TOA KWA AJILI YA M/MUNGU

TAASISI YA DAARUL BIRRI ISLAMIC CENTRE,YENYE OFISI YAKE ILALA BUNGONI DAR ES-SALAAMU – TANZANIA INACHUKUA FURSA HII KUWATANGAZIA WALE WENYE IMANI NA VIUMBE WANZAO KUWA ,KUNA VIJANA WALEMAVU WA MACHO (VIPOFU)WAPATAO THELATHINI NA MBILI 32,KATI YAO WAVULANA WAPO KUMI NA WASICHANA WAPO ISHIRINI NA MBILI,DBIC INASIMAMIA KUFUNDISHWA QUR AANI NA FIQHI ,TABIA NZURI NK,,VIJANA HAO WANASHIDA AU MAHITAJI YAFUATAYO;

 (1) MAJUBA YA WASTANI MEUPE NA MEUSI KWA KILA MMOJA,JUMLA MAJUBA 42

 (2) KANZU

(3) NGUO ZA SIKUKUU.


NDUGU ZANGU WAISLAMU VIJANA HAWA NI VIPOFU PIA NI MASKINI WAPO TAYARI KUVAA KUJISTIRI KAMA ANAVYOTUTAKA MUUMBA,NANI ATAWASAIDIA KAMA SIO MIMI NA WEWE ,NAKUOMBA SUALA HILI ULICHUKULIA KAMA LAKO LIMEKUGUSA ILI KUWASAIDIA NDUGU  ZETU HAWA,PIA TUNAOMBA KAMA KUNA MTU AMEJALIWA KUTUSAIDIA KUMLIPA NAULI MWALIMU WA V IJANA HAWA AJITOKEZE KWANI TAASISI YA DAARUL BIRRI NI CHANGA NA WALA HAINA MFADHILI ,


DBIC IPO TAYARI KUMPELEKA MTU YEYOTE MADRASA ILIPO ILI MTU AKAJIONEE YEYE MWENYEWE HAO NDUGU ZETU VIPOFU NA MTU HUYO AWAKABIDHI YEYE MWENYEWE CHOCHOTE ATAKACHO KUWASAIDIA NA KUWAULIZIA MATATIZO YAO MENGINE NA
KUWASAIDIA HAYO MAJUBA ,KANZU ,NGUO ZA SIKUKUU NK, NA KAMA PIA KAMA ATATOKEA MTU WA KUWAPATIA WALIMU HAO NAULI PIA TUPO TAYARI KUMKABIDHI NAMBA ZAO ZA SIMU ILI WAWASILIANE NA WAHUSIKA MOJA KWA MOJA,AU WAKUTANE,
NA KWA NDUGU ZETU MLIOKUWA MBALI NA MNATUUNGA MKONO KATIKA SUALA HILI LA KHERI LA KUWAFUNDISHA WATOTO MANENO YA MUNGU NA YA MTUME (S.A.W.) TUNAKUOMBA KWA IHSANI YAKO NA UCHA MUNGU WAKO INGIZA SADAKA YAKO KWENYE AKAUNTI HII IFUATAYO;

ACCOUNT NAME; DAARUL BIRRI ISLAMIC CENTRE
ACCOUNT NUMBER: 33 00 37 99 38
  BANK NAME, KCB LIMITED

NDUGUYO,USTADH AHMAD KATIBU MKUU 0682 92 92 82/0719 92 92 82

MWENYEZI MUNGU AKULIPE KILA LA KHERI DUNIANI NA AKHERA KWA MISAADA YAKO.