Baada
ya wafuasi wanaomuunga mkono Sheikh Issa Ponda kutangaza kufanya
maandamano jijini Dar es Salaam ya kupinga hatua ya kupelekwa mahabusu
akiwa mgonjwa, Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano hayo,
laonya kwamba litakabiliana na mtu yeyote atakaye kaidi amri hiyo.
endelea kuwa nasi.
Chanzo : Mwananchi News
|
No comments:
Post a Comment