Sunday, August 04, 2013

WASHINDI MASHINDANO YA QUR AN ISTIQAAMA


Mshindi wa Kwanza wa Juzuu 30 akikabidhiwa zawadi yake ya Tshs Milioni Mbili Taslimu
Mshindi wa Tatu akipokea zawadi yake .
Mgeni Rasmini katika Mashindano hayo akipokea zawadi kutoka kwa Waratibu wa Mashindano hayo.
Mgeni Rasmini akitoa Nasaha 
Mratibu na Msimamizi wa Shughuli hiyo akiongoza Ustaadh Saleh Omar Saleh
Waumini walio hudhuria


Nasaha 
 Waumini walio hudhuria
 Mtoto Maryamu Nassor(8) akisoma Qur an
 Mshindi wa Kwanza Juzuu 20 akipokea Zawadi ya Fedha Taslimu Milioni Moja na Nusu.
Sheikh wa Mkoa akitoa Nasaha
Majaji wakiagana Mgeni Rasmini

No comments:

Post a Comment