Sunday, August 04, 2013

KARIBUNI WAPENZI WA QUR AN


JUMUIYA YA KUHIFADHISHA QUR’AN TUKUFU TANZANIA NA TANZANIA MUSLIM HAJJ TRUST.


WANAWAKARIBISHA WAISLAM WOTE KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR’AN TUKUFU YA KIMATAIFA.


LEO Jumapili , Tarehe 04 Agosti 2013, Saa 3:00 ASUBUHI 

Ukumbi : Diamond Jubilee Hall.

(Waalikwa Wanaume na Wanawake).
Kiingilio : BURE 

Tunawashukuru na kuwatakia Funga Njema yenye Baraka na kukubaliwa Dua zetu ambazo tunazoziomba , Amiin.

1 comment: